Tuesday, May 29, 2012

ni bahazi ya matatizo ambayo yanaweza kutokea kutokana na mabadiliko ya genetic  za wazazi na kuweza kutoa watoto wenye utofauti na wakawaida,..ingawa siku zipo njia za kupata watoto ambao mzazi mwenyewe anapenda ambao ujulikana kama (designed baby) ambao upatikana kwa kuchangia genetic ya mzazi muhusika kwenye kiini ambacho kimechukulia na ambacho kipo tayari kutoa mtoto kwa kufanya mabadiliko ya viini ingawa bado njia hiyo kuanza kutmika sana

Monday, May 28, 2012

chunusi zinaweza kusababisha kifo kwa binadamu kwani chunusi utumika kama njia ya wadudu wa maambukizi kuingia ndani ya mwili na kuingia kwenye mishipa midogo ya damu ambayo inasambaza damu kwenye eneo la sura ivo mtu mwenye chunusi anashauliwa kuacha kutumbua chunusi ovyo au baada ya kutumbua anawe na sabuni kuepusha maambukizi ya vijiduu kama bacteria kuingia ndani ya mishipa ya damu

Wednesday, February 15, 2012

wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha sayansi cha muhimbili wakifanya majalibio kwa vitendo ....hiii ni moja ya masomo ambayo upata wanafunzi hao wanapokuwa katika mafundisho...wanafunzi hao wanaochukua mchepuo wa utabibu bado wanaendelea na mafunzo yao